Pages - Menu

23 March 2012

mmmmh Tulisa Contostavlos nini sasa???

Bi mdanga Tulisa ametupia limuvi la mambo ya kikubwa katika jamii, eti katika good use jmani!!!huku Mzee wa X factor Simon Cowell akimpa bonge la Tafu katika hili.

No comments:

Post a Comment