Pages - Menu

20 March 2012

Jalabia ndio jina lake nini unashangaa au umeshazoea kuita Dera?

Bibi hili linavaliwa nyumbani tu utachekwa na kunyanyuliwa kope utapoonekana nalo harusini hahahaha kama ninakuona unavyosonya maana ushalivaa sana harusini shosti.
Mtazamo tuu msiniletee kizaa zaa bure wengine hamuanziwi.
Kama unalihitaji au unayahitaji nitafute basi.

No comments:

Post a Comment