Pages - Menu

21 March 2012

Cena bwana kambeba big show ha ha ha

Jitu kubwa Bigshow likiwa limebebwa na super star wangu John cena chezeya cena weyeeeee hata tembo atambeba kama andazi hahahahhahah nina waza kimya kimya tuuuu

No comments:

Post a Comment