News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science & Many More...
Pages - Menu
▼
6 February 2012
Mbunifu Mpya Ndani ya Nyumba...Yap this is KWANZA Collection by Zib-Design
Brand:Zib-Designs
Collection:Kwanza
Model:Hayakusu
Designer:Maskat de Haan aka hayakuhusu
check humu kuona mambo zaidi http://www.zib-fashion.blogspot.com/
Sasaaaaaa. Mimi sijui nina matatizo? Nia ya picha ni design, lakini mimi picha ndio zimenifurahisha zaidi. Composition yake na alivyojiachia. Sijui kwa sababu picha ndio ulevi wangu? Nimefurahia kwa kuwa nimejifunza kitu kuhusu upigaji picha. Nimpongeze mpigaji, mpigwaji na mbunifu wa upigaji.
Oooooopss!!! Nilitaka kusahau kuhusu design. Safi sana (japo nahisi dalili za kufilisika hapa maana japo kwa mbaali, lakini naona mamsap alikuwa anasisitiza "hebu hiyo iliyopita") Hahahahaaaaa
Sasaaaaaa. Mimi sijui nina matatizo?
ReplyDeleteNia ya picha ni design, lakini mimi picha ndio zimenifurahisha zaidi. Composition yake na alivyojiachia.
Sijui kwa sababu picha ndio ulevi wangu?
Nimefurahia kwa kuwa nimejifunza kitu kuhusu upigaji picha. Nimpongeze mpigaji, mpigwaji na mbunifu wa upigaji.
Oooooopss!!! Nilitaka kusahau kuhusu design. Safi sana (japo nahisi dalili za kufilisika hapa maana japo kwa mbaali, lakini naona mamsap alikuwa anasisitiza "hebu hiyo iliyopita")
Hahahahaaaaa
Asante kwa kutushirikisha pia