tag:blogger.com,1999:blog-5577637568645188237.post2848510064958949288..comments2023-06-08T21:16:00.483+01:00Comments on T-Mark: Mmmmh Wasanii JmnTmarkhttp://www.blogger.com/profile/17057325938794393281noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5577637568645188237.post-34699862425570594792012-02-07T00:14:33.822+00:002012-02-07T00:14:33.822+00:00Sisi tunaelezwa wazi kuwa "when it bleeds, it...Sisi tunaelezwa wazi kuwa "when it bleeds, it leads".
Habari zivumazo si zile za ukarimu sana. Sitashangaa kujua kuwa alipanga hili na limempa attention ya kutosha. Na bado wapo watakaomfuatilia kuona kama ANA MPANGO WA KUOMBA MSAMAHA.
Hilo tayari litakuwa ni chance la kuonekana na kusikika na kutambulika. Na akishaomba msamaha, who cares kuhusu alichoonyesha? Atakuja na best selling song na mambo kama hayo.
Ninaweza kukuhakikishia kuwa wengi wamemjua kwa mkupuo kupitia tukio hili kuliko ambavyo wangemjua kwa "kucheza vizuri>"
AGAIN
When it bleeds, it leads.
INASIKITISHA LAKINI NDIVYO ILIVYOMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com