29 September 2013

Fatma Athuman Semndaia.


It's 4 yrs today since u left  Us God can't for get U ma sister. 
Ma shostisto nikikumbuka tulivyokuwa tukikuzingua mie na Hafsa wallah wewe ni zaidi ya sister unakubali kila lawama,
Wanao Salama,Sitti na Abubakar wanakukumbuka sana dada.
Mwenyezimungu alijalie nuru kaburi lako inshallah azidi kukupunguzia adhabu za kaburini,akupokeleshe Kitabu kitakatifu kwa mkono wako wa kulia inshallah ameen.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!