29 September 2012

FATMA ATHUMAN GEORGE SEMNDAIA 
Ni miaka mitatu sasa tangia Ututoke hapa duniani,unakumbumbukwa na watoto wako,Salama Rajab Zowange,Sitti Rajab Zowange,na Abubakar Rajab Zowange.Unakumbukwa na mumeo mpenzi Rajab Zowange,baba na mama yako bwana na Bii Semndaiya,ndugu zako na familia yote kwa ujumla hakika pengo uliloliacha ni vigumu kuzibika.
Mwenyezimungu azidi kulipa kaburi lako nuru,azidi kukuondolea adhabu za kaburini,akupe kauli njema na malaika wa kaburini,akupokeleshe kitabu kitakatifu kwa mkono wako wa kulia inshallah.Ameena.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!